March 18, 2014


Henry Kilewo Ameandika yafuatayo katika Ukurasa Wake wa Facebook kuhusu Uchaguzi wa Jana katika Jimbo la Kalenga Ambapo CCM waliibuka Washindi:

"Mapambano yanaendelea,hatujafa moyo, hatujahuzunika na wala hatutarudi nyuma, safari ndiyo inaanza kuwa na chachu ya mafanikio huku tukiendelea kuwa imara na kuimarika zaidi... wanakalenga tutaendelea kuongea na nyie na tunajua maamuzi yaliyofanyika yalikuwa siyo yenu bali Tume ya Taifa ya uchaguzi iliamua kuucheza mchezo mchafu pamoja na jeshi la polisi.

Hatujashindwa na kamwe hatutashindwa wala kukubali kushindwa pasipo na mazigira huru"

Related Posts:

  • Christian Bella Kuleta Mapinduzi ya Muziki wa Dance Inchini Tanzania Mfalme wa Masauti Christian Bella ameachia Track yake mpya Nashindwa Audio pamoja na Video, Audio ya wimbo huo imefanywa chini ya Studio za Combination sound chini ya Producer man Walter na Video imefanyika Africa ya Kusini … Read More
  • Suma Lee aacha muziki Msanii aliyefanya vizuri na single ya ‘Hakunaga’, Suma Lee amesema hatofanya tena muziki kwa sababu ameachana kabisa na maisha hayo. Suma ambaye alitengeneza pesa nyingi kupitia hit yake ya ‘Hakunaga’… Read More
  • Magazeti ya leo April 5/2015 haya hapaIkiwa Leo April 5 2015, wakristu ulimwenguni kote, wanasherehekea kufufuka kwa Yesu Kristu tukimaanisha siku kuu ya Pasaka. Hapa tunakupa fursa ya kupitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo. Ubalozini.blogspo… Read More
  • Kenyatta atangaza siku tatu za maombolezo Kenya Rais Uhuru Kenyatta Wa Kenya ametangaza siku 3 za maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti kufuatia shambulio la kigaidi dhidi ya Chuo Kikuu cha Garissa lililoua karibu watu 150. Akilihutubia taifa kutoka Ikulu ya Nairobi… Read More
  • Al-Shabab watishia kuishambulia tena Kenya Kundi la wanamgambo wa al-Shabab wa Somalia limetishia kuishambulia tena Kenya na kusisitiza kwamba, Wakenya watakabaliwa na vita vya muda mrefu na vya kutisha. Taarifa ya wanamgambo wa al-Shabab imebainisha kwamba, muda sio… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE