Basi hilo lenye namba za usajili T574 CQD ambalo linafanya safari zake za Dar es salaam na Mtwara saa 6 mchana lilitoa nafasi kufanya mahojiano na dereva Rashidi Mohamed ambae alikuwepo kazini siku ya tukio na ndio shahidi wa kwanza wa hili tukio.
Story zaidi na millardayo.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment