Kareem Omar KO akiwa kzini
Sikuya jana nilipata fursa ya kutembelea kituo cha Radio kinachokimbiza sana mjini Morogoro Abood Radio 89.7 fm. Niliweza kushuhudia jinsi ya urushaji wao wa matangazo na kufanya nao mahojiano kuhusiana na maswala ya blogs hasa blog ya Ubalozini.
Nilikuwa na kaka mkubwa Kareem Omar KO mtangazaji wa Kipindi cha Mega MIX, moja ya wana harakati waliosaidia sana kukua kwa vipaji mkoani hapa kabla ya kuondoka na hatimae kurudi tena Moro.
Hapa ni mimi na KO baada ya kazi
Nikiwa na Dee Jay Bernet alitisha sana
Pia Dee jay mwenye kiki mkoani Morogoro na sehemu zinaposikika sauti za Abood Radio hotobisha kuhusu huyu jamaa ni Dee Jay Bernet, Dee jay ambaye kiukweli huwa nakubali sana na kutambua kile anachokifanya.
Dee JAY Bernet akifanya yake
Saluti kwako Mzazi Kareem Omar KO kwa kuutambua umuhimu wangu na wa blogs kwa jumla, pia kaka mkubwa Dee Jay Bernet endeleeni kukimbiza harakati mwanzo mwisho.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment