Baada ya kupokea taarifa hizo
Mwandishi wa habari hizi alifika hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
na kuzungumza na daktari mmoja ambaye alithibitisha mtoto huyo aliyekaa
tumboni kwa mama yake kwa miezi 7 amefariki dunia.
Vile vile Mwandishi wetu alifanya
juhudi za kina na kufanikiwa kumpata mume wa mwanamke huyo ambaye pia
alithibitisha kichanga hicho kufariki dunia.
Paparazi wetu pia alifanikiwa kufanya
mahojiano maarumu juu ya tukio hilo na baba huyo wa familia hiyo ambapo
pamoja na kuchukuha hatu kali zidi ya mkewe huyo pia amefunguka na
kusema mambo mengi, nini amesema endelea kufuatilia magazeti ya Global
Publisher pamoja na Mtandao huu
NA DUSTAN SHEKIDELE,MOROGORO.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment