March 08, 2014

Displaying Front CD Cover.png
Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi  "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,
Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika kusherehekea siku
ya WANAWAKE duniani, salam hizi maalumu kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote kwa usemi huu "HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani hasiyezaliwa na MWANAMKE (mama) " 

Siku ya " WANAWAKE" oyeeee! Oyeeeee!
sikiliza muziki na burudani at www.ngoma-africa.com

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE