March 08, 2014

Perfomance iliyokusudiwa ndo Ikawa Hivi Mjini Wakati Miley Cyrus Akiwa kwenye "Stage" Vancouver Canada.(getty images)

Miley Cyrus Akiwa Amevaa Gauni Yenye Mapambo ambayo inasemekana ni Matawi ya Marijuana(picha:getty images)
Pop Star Akiwa Anaimba Huku Akiwa Anaelea angani Na Mfano wa Pulizo "A hot Dog"(picha:getty images)

Kama Kawaida Huku Ulimi Wake Ukiwa Nje Miley Cyrus Anazinyatia  Us Dollars(picha:getty images)

 Miley Cyrus Akifanya Ishara Za Ngono Kwa Mmoja Wa Background Dancers Aliyekuwa Amevaa Akafanana Kama Rahisi Wa Zamani Wa Marekani Bill Clinton.(picha:getty images)

Miley Cyrus libadili Mpaka Nguo zaidi ya 10  Kila Baada Ya Muda Mfupi katika shoo moja Kama Picha Zinavyoonesha.(picha:getty images)

Miley Cyrus Akiwa na Kitu Mfano wa  Kidole Wakati Akifanya shoo katika Tour Yake Hiyo"Bangerz"(picha:getty images)

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE