Bonge la harusi inayosubiriwa kwa Hamu
kati ya Kanye West na Mchumba wake wa Muda Mrefu Kim Kardashian
itakayofanyika Mwezi wa Tano Imeanza kuwa Gumzo Baada ya Taarifa kuzagaa
kuwa waalikwa hawataruhusiwa kuingia na Simu za mkononi wala kamera ya
aina yoyote , kuepusha watu kupiga picha ama video na kuzipeleka
mtandaoni kama ilivyokuwa Engagment party yao ambapo mtu mmoja alichukua
video na kuipost Youtube bila ruhusa yao...Taarifa mpya zimekuja na
kusema kuwa Jay z na Beyonce pekee ndio watakao ruhusiwa kuingia na Simu
zao za Mkononi... By John K
RAY C ALITAMANI PENZI LA KIKONGWE
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa
sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama
ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60.
Akizungumza kat…Read More
Mtoto wa Pele afungwa jela miaka 33 Brazil
23 seconds ago
Gwiji wa soka Pele akionekana mwenye huzuni.
Akiwa na umri wa miaka 43, mchezaji mpira mstaafu, atatumikia kifungo
kwa kosa la kujipatia p…Read More
MAJAMBAZI YAUA ARUSHA
Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa
kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambazi
hao walikuwa wakipora kwenye Bureau De Change iitwayo Nothern ambapo
mareh…Read More
MAMA YAKE ZITTO KUZIKWA KIGOMA KESHO
Mzee Stephen Wassira akimpa Zitto pole na faraja katika msikiti wa Maamur.Picha kwa hisani ya Khalfan Said.
Maiti ya Bi Shida Salum, mama mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini
(CHADEMA), Zitto Kabwe, imesaf…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment