March 03, 2014

 
Jacqueline Wolper.
MWIGIZAJI Jacqueline Wolper, amesema anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa kama moto wa kifuu kitaani kuwa anajihusisha na vitendo vya usagaji.
 
Akizungumza na paparazihuru kuhusiana na skendo hiyo, mwanadada huyo alisema, akiwa kama mwanamke anayejitambua na kumtukuza vyema Mungu wake jambo hilo limekuwa likimuumiza.

“Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo taarifa sijui niongee nini ili jamii inielewe kile nitachokizungumza, ni ngumu sana kufanya hicho kitu ambacho najua hakimpendezi Mungu kivyovyote vile,” alisema Wolper

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE