April 13, 2014

Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe yenye mafanikio ya kuwa-massage wanaume kwa kutumia maziwa yake yenye ukubwa wa kutosha! Kristy love ambaye anatokea Atlanta Georgia ametumia mwaka mzima kujifunza kazi hiyo ila sasa anavuna mapesa mengi kwa siku baada ya kuwafanyia massage wateja wake kwa maziwa yake makubwa.
"Nilipomaliza shule ya massage hakuna aliyetaka kuniajiri..nilikuwa naulizwa kama naweza kusimama siku nzima wakifikiria uzito wangu utakuwa kikwazo,hamna mtu aliyeenita'' alisema Kristy "Nikaamua kuanza kufanyia watu nyumbani na mteja mmoja aliwahi kuniambia nipandishe blauzi nikamwambia sifani mambo hayo,nilikuwa naona aibu kwa sababu ya mwili wangu mkubwa! lakini nikagundua huenda kuna kitu kwenye maziwa ukiamua kuyatumia kwa massage..nikaweka tangazo kwenye gazeti simu zikawa zinamiminika'' alisema "Mwanzo ilikuwa ngumu sana kutokana na umbile langu nikawa nazima taa wakati nikimfanyia mteja massagelakini siku zilivyoenda nikawa najiamini zaidi" Kristy yupo singo na haoni aibu kwa mwili alionao japo madaktari wanamshauri kuwa unaweza kumletea matatizo kama ya moyo siku za usoni

Related Posts:

  • Wema, Dimpoz, wanaswa live   Wema Sepetu chumba kimoja na staa wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’. DAR ES SALAAM: LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu kwa mara ny… Read More
  • Sumaye aula CHADEMA Waziri Mkuu Mstaafu,Fredrick Sumaye ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Mwenyekiti wa Chadema – Taifa Freeman Mbowe,amekiambia Kikao cha Kamati Kuu jana k… Read More
  • Habari za Magazetini leo hii hizi hapa     Habari za leo mpenzi msomaji. Karibu katika kurasa za magazeti ya leo hii Jumamosi 14 Mei 2016. Habari kubwa katika magazeti ya leo zipo hapa.       &… Read More
  • Tumezipata hizi,Jose Mourinho kusaini mkataba Man U Muda mfupi ujao Jose Mourinho anakaribia kutangazwa kuwa meneja mpya wa Manchester United kwa mujibu wa habari Mkongwe huyo wa miaka 53 amehusishwa sana na tetesi za kutua Old Trafford tangu alipotimuliwa Chelsea Desemba mwaka jana. … Read More
  • Brand New Offial Video: Migulu Pande - Madee   Kiu na hamu ya kuiona video ya Migulu Pande toka kwa Madee Rais wa Manzese sasa naamini utaikata hapa. Rais wa Manzese ametuletea video yake hii mpya ambayo audio yake inafanya poa sana kwa sasa ktaani na kwenye vi… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE