April 17, 2014


Jakaya-Kikwete 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora wa Maendeleo Afrika tuzo ambayo hutolewa na  Taasisi inayochapisha Gazeti la African Leadership la nchini Marekani.
Akikabidhi tuzo hiyo Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe ambaye aliipokea tuzo hiyo nchini Marekani  kwa niaba ya Rais Kikwete amesema kutunukiwa kwa tuzo hiyo kulitokana na kushindanishwa katika vigezo mbali mbali.
Wasomaji  wa gazeti hilo walimchagua Rais Kikwete kwa zaidi ya kura laki nne ambazo ndizo zilizomfanya kuwa mshindi kwa mwaka uliopita wa 2013.
Aidha amesema  miongoni mwa sifa zilizomwezesha Rais KIKWETE kutwaa tuzo hiyo ni pamoja na kuiendeleza nchi kiuchumi, pamoja na kukuza maendeleo ya watu,Akiipokea tuzo hiyo kwa furaha kubwa Rais KIKWETE  amesema, ni ya watanzania wote.
Rais Kikwete amekuwa kiongozi wa tatu Afrika kupokea tuzo hiyo, ambapo Kabla ya Rais Kikwete, tuzo hiyo ilikwishatolewa kwa marais wa Sierra leone na Liber

Related Posts:

  • Nikki wapili ambadilisha Dayna Nyange    Mwanamuziki Nikki wapili amejisufu kumbadilishwa mwanamuziki Dayna Nyange kutoka kwenye ku Rap mpaka kufanya mziki wa Kuimba. Nikki ameiambia Bongo 5 kwamba alikutana na Dayna studio na kumsikiliza jinsi an… Read More
  • Matokeo kidato cha Nne, Hawa ndiyo wanafunzi kumi bora ya wavulana na wasichana Baraza la Mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne iliyofanyika Novemba 2017 ambapo jumla ya watahiniwa 385,767 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2017 wakiwemo wasichana 198,036 (51.34%) na w… Read More
  • Hiki ndicho kinachompa kiburi Barnaba STAA wa Bongo Fleva mwenye sauti ya kipekee, Elias Barnaba amesema kuwa kitendo cha kuwatungia mastaa ngoma zao hasa wa kike kimemfanya kutengeneza mkwanja mrefu. Akichonga na Risasi Vibes, Barnaba ambaye kwa sasa ame… Read More
  • Albanie Marcossy aizungumzi hotuba ya Magufuli   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ametilia wasiwasi mwenendo wa majaji nchini huku akisema baadhi yao kila likizo husafiri nchi za Ulaya na kuishi kifahari tofauti na mishahara yao. Kauli hiyo… Read More
  • Official Video: Simi - One Kain Kwa sasa nchini Nigeria, kama utawataja wanamuziki watano wa kike wanaofanya vizuri, basi naamini kabisa hutamuacha mwana dada Simi. Simi leo hii ametuletea Video ya wimbo wake wa One Kain. Naomba nikualike kuutazama w… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE