Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake
Marekani.Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini
Marekani.Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha,
Rick Ross na wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft
Rick Ross,Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see
it ya Young Joc.
TUFUATE TARATIBU ILI KUDUMISHA AMANI YETU- MALECHA
-
Na Mwandishi wetu, Dar
Khalid Malecha, Mkazi wa Kitonga Jijini Dar Es Salaam, ameeleza kuwa maelfu
ya wananchi waliathirika moja kwa moja na ghasia na m...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment