
Nanukuu walichoandika Global Publishers kuwenye Channel yao ya Youtube
" HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa
fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global
Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina yake kisa
kikiwa ni kuandikwa kwa habari zake na mpenziwe, Nasibu Abdul 'Diamond
Platnumz'
0 MAONI YAKO:
Post a Comment