Ya Kichina hayoooo, unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana, Web hii
imeona ijaribu kutoa somo kwa nyie wakaka mnae mezeaga mate kwa kuona tu
mtu kapita na hizi suruali za kisasa zinazobanaga. Unaweza ukawa
unauziwa mbuzi kwenye gunia.
Maalim Seif Asema Polisi Imegeuka tawi la CCM
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad jana aliwasili Zanzibar
kutoka ughaibuni na kulilaumu Jeshi la Polisi nchini akisema, “hapana
shaka yoyote sasa limegeuka tawi la CCM.”
Maalim Seif alisema
hayo…Read More
New Audio: Tekno -Where
Baada ya kufanya poa sana na nyimbo zake kama Duro, Wash, Mari hatiamye mwanamuziki toka nchini Niogeria Teknomize maarufu TEKNO ametuletea wimbo wake mpya kabisa unaitwa WHERE chini ya producer wake Selebobo
Down…Read More
Mama Tibaijuka ang'ang'aniwa koo
Hatima
ya kesi ya Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka kupinga
kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya Sh500 milioni kutoka
katika mgawo wa Sh1.62 bilioni zinazohusishwa na fedha zilizochotwa
Ak…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment