
Agnes Jerald 'Masogange'.
AGNES Jerald, binti anayetumika sana kunengua na pozi katika video za nyimbo za wasanii mbalimbali wa
muziki wa kizazi kipya, amejipatia umaarufu mkubwa sana baada ya
kufanya kazi na mkali wa Morogoro, Belle 9 katika kibao chake cha
Masogange.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment