Mechi iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu kubwa ya watani wa Jadi Tanzania Yanga na Simba, imemalizika kwa timu hizo kwenda sare ya gori moja kwa moja. Simba ndiyo iliyokuwa ya kwanza kuliona lango la yanga kupitia kwa mfungaji wake Chanongo dk 75, baadaye Yanga wakasawazisha kupitia kwa Simon Msuva dk 86
April 19, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment