Usiku wa kuamkia leo umekuwa niwaburudani kutoka kundi la MAFIKIZORO kwa
Watanzania walioweza kufika ukumbi wa Mlimani City. Hizi ni picha za
baadhi ya matukio muhimu yaliyo jiri.
NEW AUDIO/ ANATAMANI - AMA G CHOTARA
Ni msanii mpya kabisa katika tasnia hii ya muziki wa kizazi kipya, anatokea mkoani Mwanza Tanzania. Ameachia audio ya wimbo wake huu wa Anatamani lakini video yake inakujia hivi karibuni
Artist - Ama G Chotara
Song -…Read More
PROFILE/ RAY J
Ray J
William Ray Norwood Jr (amezaliwa 17 Januari 1981), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Ray J, ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji rekodi na muigizaji. William Ray Norwo…Read More
DAVIDA AZUNGUMZIA BET 2014 JUU YA UPINZANI ULIOTOKEA.
DAVIDO
BET Awards 2014 “Best
International Act” winner, Davido could not contain his excitement as
BET hosted him and Best International Act 2013 winner/2014 BET
Experience performer Ice Prince to a lig…Read More
MASHABIKI SIMBA WACHOMA JEZI YA COUTINHO CHUO KIKUU DAR
Hii ni hatari, utani wa miaka nenda rudi kati ya
timu kongwe nchini, Simba na Yanga, umeonekana kugeuka chuki na ukatili,
kufuatia kitendo cha mashabiki wa Simba kumvamia shabiki mmoja aliyesadik…Read More
DIAMOND AMPIGA KIJEMBE ALLY KIBA
Wiki
iliyopita kupitia mitandao ya kijamii zilitoka stori ambazo zilianzia
kwenye 255 ya Clouds Fm ambapo aliulizwa Ally Kiba juu ya uhusiano na
msanii mwenzake Diamond Platnumz.
Usiku wa kuamkia July 21 Diamond …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment