Unaambiwa club ya Villareal imemfungia
maisha yule shabiki ambae alionyesha kitendo cha kibaguzi kwa kumrushia
ndizi Dani Alves, kitendo ambacho kilitafsiriwa kwa Alves kufananishwa
na nyani.
Wachezaji kadhaa wamemsupport kwa
ujasiri wake wa haraka na kula ndizi hiyo aliyotupiwa uwanjani alafu akaendelea na game kama kawaida ambapo miongoni mwa waliomsupport ni
Neymar.
Mwingine alieonyesha support ni Samuel Eto’o ambae baada ya kuweka picha zake mbili akiwa kwenye magari yake ya kifahari na kuandika ‘samahani nilisahau kuuliza, kuna yeyote anataka kuwa nyani kama mimi?’

0 MAONI YAKO:
Post a Comment