April 26, 2014


Raisi wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka hamsini ya muungano wa tanaganyika na zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa uhru jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na 

Kikosi cha makomandoo kikipita kwa mwendo wa aina yake wakati wa shrehe za muungano wa miaka 50
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya muungano ambazo zimefanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Kikosi cha makomandoo kikitoa salaam kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono.
Baadhi ya silaha za kijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha uwezo mkubwa wa jeshi letu.
Kikosi cha Wanamaji.
Ndege za kivita zikilinda ndege ya Rais katika maonyesho ya ndege yaliyofanyika kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya muungano.                                            
Askari wa kikosi cha mwamvuli akishuka kutoka futi 4500 kwenye uwanja wa Uhuru kwenye kilele cha miaka 50.
Rasi Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pongezi mmoja wa wanajeshi wa kikosi cha mwamvuli.
Maandamano ya Pikipiki.
Matembezi maalumu ya kusherehekea miaka 50 ya muungano.
Njiwa wakirushwa juu kama Ishara ya Miaka 50 ya Muungano ambapo watu waliorusha njiwa hao nao wametimiza miaka hamsini (50)
Source. Habari24 blog

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE