Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Darasa,Nuh Mziwanda na baadae Stamina alitokea kwa ajili ya kusapraiz mashabiki wa Morogoro ambao hawakujua uwepo wake kwa ile show.
Hizi ni picha za kilichofanyika New Maisha Club Morogoro kwenye uzinduzi wa video ya Shilole.
Team Shilole kazini
Shilole akikamua jukwaani
Darassa
Stamina Kabwela kwa stage
Nuh Mziwanda
0 MAONI YAKO:
Post a Comment