April 12, 2014

Prophet TB Joshua alitabiri mwaka jana kwamba Nigeria itakua ya kwanza kiuchumi kushinda nchi zote za Africa.
Wakati anatabiri. ..nilikua nikiangalia nchi ya Africa Kusini, Misri etc.....niliwaza sana.
Jana Imetangazwa kuwa kwa sasa Nigeria inaongoza katika Uchumi Africa

Kweli huyu Baba ni Mtumishi wa Mungu wa karne hii.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE