April 28, 2014


 Mkude amekuwa ni habari ya mjini sasa hivi, kila mtu ambae anatumia whatsapp lazima ana clip moja au mbili za mkude zinazovunja mbavu
Sikiliza hii akiongea na mshkaji wake kuhusu mke wake kuondoka nyumbani na kumdanganya kuwa ameenda kushinda kw rafiki yake , wakati yeye alikuwa na huyo rafiki wa mke wake guest usiku kucha

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE