May 12, 2014

Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.
Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara.
Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake miamoja wakiwa wamevalia hijabu na kuswali. Abubaka Shekau anasema kuwa wanawake hao ni wasichana waliotekwa nyara na kundi hilo.
Walitekwa nyara kutoka katika shule yao mjini Chibok, Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo
Rais wa Ufaransa amejitolea kuwa mwenyeji wa mkutano utakaotafuta njia za kupambana na Boko Haram.

Related Posts:

  • FIFA:Interpol yataka maafisa 6 kukamatwa  Shirika la maafisa wa polisi wa kimataifa Interpol limetoa ilani ya kukamatwa kwa watu sita wanaohusishwa na FIFA kufuatia madai ya kuhusika na ufisadi. Agizo hilo linawalenga maafisa wanne wa mashirika makuu p… Read More
  • Ulikuwa wapi ya Hussein Machozi  Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hatimaye msanii wa bongo fleva Hussein Machozi amekuja na hii hapa mpaya kabisa.  Download hapa chini … Read More
  • New VIDEO | JOZZ D - My Candy Song Name/Jina la Nyimbo: My Candy.Artist Name/Jina la Msanii: JOZZ D .Genre/Aina ya Nyimbo: BONGO FLEVA & AFRO BEATSDirected/Mwongozaji: Remy Ivo Lupamba. Producer/Mtengenezaji: JOHNBGRAND.Studio: GRANDMASTER.C… Read More
  • Mpya ya Matonya na Rich Mavoko hii hapa Matonya aachia wimbo mpya "MULE MULE" akimshirikisha Rich Mavoko!Kuwa wa kwanza kupakua hapa … Read More
  • Idadi ya waliofariki Ghana yafikia 175   Takriban watu 175 wamefariki kufiakia sasa kufuatia moto uliotokea katika kituo kimoja cha mafuta katika mji mkuu wa Ghana Accra. Moto huo uliozuka siku ya jumatano usiku ulianza wakati wakaazi wa mji huo walipok… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE