Msanii nguli wa Hip Hop Tanzania mwenye mashabiki wengi Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo
ya Mwana Hip Hop Bora wa Mwaka , Amesema hiyo inajidhihirisha hata
kwenye Social Media kila mtu anasifia na kukubali ishindi wake ..Amasema
Amebaniwa Miaka Mingi hiyo tuzo na Hatimae ameipata....
0 MAONI YAKO:
Post a Comment