May 12, 2014


Mamlaka za nchini China zimegoma kuruhusu kuzinduliwa kwa filamu ya Noah iliyochezwa na Russell Crowe, ambayo tayari imepigwa marufuku katika nchi za kiislamu.
Filamu hiyo imekatwa kuoneshwa katika nchi za Bahrain, Indonesia, Malaysia, Qatar na kwingine. Hata hivyo inasemekana kuwa kukatazwa kuzinduliwa kwa filamu hiyo nchini China ni kwasababu za kibiashara kwakuwa filamu zingine kama Godzilla zitazinduliwa hivi karibun

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE