May 13, 2014

Gavana Evans Kidero
Gavana wa mji mkuu wa Kenya Nairobi, Evans Kidero ametimuliwa mamlakani na mahakama ya rufaa.
Mahakama hiyo, imeamua kuwa Kidero na naibu wake Jonathan Mueke hawakuchaguliwa kihalali.
Uamuzi huo ulitolewa kufuatia ombi la waziri msaidizi wa zamani Ferdinand Waituti ambaye aliwania kiti hicho wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2012.
Gavana Kidero alisifika wakati mmoja kwa tukio la kumzaba kofi mwakilishi wa wanawake nchini Kenya Rachel Shebesh walipodai kuwa alivamia ofisi yake akiwa ameambatana na na wafanyakazi wa baraza la jiji waliokuwa wanadai kushughulikiwa kwa maslahi yao ya kikazi.

Related Posts:

  • Tanzania kukumbwa na ukame   Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk.Agnes Kijazi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam.  Mamlaka ya Hali ya H… Read More
  • Watu 35 wafa kwa mafuriko   Zaidi ya watu 35 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 55 wamejeruhiwa baada ya nyumba zao kuwaangukia na kuwafunika usiku wa kuamkia leo kutokana na mvua kubwa iliyonyesha wilayani Kahama, mkoani Shinyanga  … Read More
  • Mwizi wa wasanii Clouds huyu hapa   Huyu kijana kushoto amekamatwa kwa kosa la kutapeli watu mbalimbali kwa kutumia majina ya wafanyakazi wa Clouds akiwemo Ruge Mutahaba na kujifanya yeye ndio kiongozi wa idara ya muziki ya Clouds fm na kuwatapeli… Read More
  • Bajeti ya jeshi yaboreshwa China    China inasema kuwa bajeti yake ya ulinzi itaongezeka kwa asilimia kumi mwaka huu. Wanajeshi wake wanatarajiwa kupewa dola bilioni 145 na kuendelea na mfumo wa kuongeza bajeti ya jeshi ulioanza miaka 20 iliyo… Read More
  • Kuhusu kauli ya Ngeleja kumtuhumu, Zitto Kabwe ataka achunguzwe   Tuhuma dhidi yangu zichunguzwe-Zitto Kabwe Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja ali… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE