
Kama unamfatilia kwa ukaribu Rihanna utagundua kuwa anapenda sana
kujiweka mtupu kkama alivyozaliwa, sana tena wala sio kidogo, kuachioa
sehem kubwa ya mwili wake ukiwa uchi, lakini safari hii Rihanna safari
hii Instagram wamempiga mkwara baada ya kuzipost picha zake za uchi
ambazo IG wameona kama ameenda mbali sana kwa sasa
Rihanna alipost picha IG akiwa hana nguo ya juu, na zingine akiwa hana
kabisa siku ja jana (juma nne) kutoka kwenye photo shooy yake na gazeti
la LUI (French skin magazine) na baada ya saa moja IG wakazipiga chini,
kwasababu zimevunja sharia dhidi ya utupu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment