May 10, 2014


Gauni leusi na refu alilokuwa amelitupia Miss Tzee 2006 Wema Sepetu lilionesha kumpendeza sana katika usiku wa KTMA 2014, pia gauni hilo hilo ameshawahi kulivaa model maarufu huko Marekani anayejulikana kwa jina la Cisele Bundchen.
Je nani aliyeonekana kupendeza zaidi kwa gauni hilo kati ya Wema Sepetu na Cisele Bundchen?

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE