Official Video ya msanii JOH MAKER FT. STAMINA . Wimbo inaitwa WANASEMAJE na audio imetengenezwa na VENT SKILLZ wa KWANZA RECORDS. Video imefanywa na KWETU STUDIOS, Directed by Msafiri Shabani.
StanBakora - Nay True Boy Baada ya Kufungiwa
Kufuatia kufungiwa kwa muda usiojulikanana kwa mwana muziki Nay wa Mitego, muigizaji wa Filamui nchini Stan Bakora amuigiza maisha ya Nay baada ya kufungiwa kutofanya mziki kwa muda usiojulikana
&n…Read More
Lowassa: Nitaongea ikifika Novemba
Wiki moja baada ya kuwa gumzo kuu katika mkutano mkuu wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye
aligombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka jana, Jumapili 30 Novemba
2016 saa 3.0…Read More
Download beat ya Komela - Dayna Nyange ft Bill Nass
Mwanamuziki Dayna Nyange anayetamba na wimbo wake mpya wa Komela aliomshirikisha Bill Nass, anakupa fursa ya kudownload beat ya wimbo huo unaofanya poa sana kwa sasa. Dayna amekupa uhuru pia wa kufanyia Cover wimbo h…Read More
Kurasa za Magazetini leo hii Julai 31
Habari mpenzi msomaji. Katribu katika kurasa za Magazetini leo hii Jumapili ya 31 Julai 2016. Tumekukusanyia vichwa vya habari katika magaeti haya
…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment