May 15, 2014


ngalumaaa 
Amina Ngaluma ni miongoni mwa waimbaji ambao waliipa umaarufu bendi ya African Revolution ‘Tam tam’ kupitia wimbo wa Mgumba na baadae kujiunga na bendi ya Double M Sound,kupitia ukurasa wa Amina Ngaluma wa Facebook watu mbalimbali wameandika salaam za msiba huu.
ngaluma
Chanzo cha kifo bado hakijafahamika ingawa wamesema kuwa walimuuguza kwa siku kadhaa kabla ya umauti kumfika,taarifa zaidi  tunazidi kuzifwatilia

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE