May 17, 2014

Katika pitapita zangu huko insta nilikutana na ujumbe mzito sana ambao aliandikiwa Diamond platnumz na moja ya team Flani Hivi... nilipitia maelezo ya pande zote mbili ili kulinganisha ukweli kuhusu kuvuja kwa nyimbo hiyo kama alivyodai Diamond Platnumz siku chache zilizopita! "May 10"
Baada ya kupekuwa pekuwa niligundua kuwa Diamond alituongopea mambo flani juu ya wimbo uliosemekana umevuja. Kwanza diamond aliandika katika ukurasa wake wa facebook na istagram.. soma hapo chini sniped
 Hapa ni Ukurasa wake wa Insta
Sasa Team Flani ilichomoz Ukweli mzima hukuhu kuvuja kwa Nyimbo hiyo..NUKUU!! @diamondplatnumz am one among ur real fun, nakupenda sana kwa kaz zako nzur n unavojitahid ktk muziki wako, but always i hate lies and being fooled! kwanza hakuna chance hata moja ya nyimbo ya msanii kuvuja, coz unapofika studio producer anasikiliza mistari yako ni ya aina gani, kunachofuata ni kutafuta beat according to ur mistari, unaingiza mistari kweny beat and than mamb ya vocal yanafuata, hakuna producer hata mmoja bongo na nje ya bongo anaekupa nyimbo yako ikiwa haijamaliza, nakusudia hakuna producer anaetoa nyimbo ya msanii ikiwa haijesha kwa maana hakuna producer anaetaka kuharibu kazi yake kwa nyimbo ilokua haijesha Pili 
 
#KITORONDO is not voice note, ni nyimbo kamili yenye beat yake na full vocal....IT IS NOT VOICE NOTE I know its ur way of introducing new thing....kik, gumzo and everythn lakini sio kudanganya watu ni voice note na imevuja, labda kavujisha @wemasepetu Openly hizo ni namna ya kupiga kik kwa nyimbo mpya ambayo utatoa soon kwa upande wangu inanambia wema hawez kukupa kik tena coz ndio ambae ukipata kik kupitia kwake, so inamaana gani sasa kuwa nae wakati hawez kukupa tena kik ya mziki? Honestly nna mengi ya kusema sema najiandaa zangu kurudi bongo ila@dimondplatnumz umeni dissapoint sana kwa kunidanganya na kuwadanganya funs wako, we msanii mkubwa hem punguza uwongo basi! aaggggrrrrrrhhhh!
Mwisho wa Kunukuu!!#KITORONDO is not voice note, ni nyimbo kamili yenye beat yake na full vocal....IT IS NOT VOICE NOTE I know its ur way of introducing new thing....kik, gumzo and everythn lakini sio kudanganya watu ni voice note na imevuja, labda kavujisha @wemasepetu Openly hizo ni namna ya kupiga kik kwa nyimbo mpya ambayo utatoa soon kwa upande wangu inanambia wema hawez kukupa kik tena coz ndio ambae ukipata kik kupitia kwake, so inamaana gani sasa kuwa nae wakati hawez kukupa tena kik ya mziki? Honestly nna mengi ya kusema sema najiandaa zangu kurudi bongo ila@dimondplatnumz umeni dissapoint sana kwa kunidanganya na kuwadanganya funs wako, we msanii mkubwa hem punguza uwongo basi! aaggggrrrrrrhhhh!
Mwisho wa Kunukuu!!

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE