June 18, 2014

adele2
Mtandao wa YouTube unatarajia kuondoa Video za wanamuziki Adele, Arctic Monkeys na Radiohead, kutokana na lebo za muziki walizopo kukataa kukubaliana na masharti ya mtandao huo.
adele
Kampuni ya Google, inayomiliki mtandao wa YouTube, imekuwa ikifanya mazungumzo ya kimikataba wakati ikijiandaa kuzindua huduma yake mpya ya muziki.
Msemaji wa lebo za indie amesema YouTube imekuwa ikitoa hukumu za kibiashara.
YouTube imesema inaleta mapato mapya ya miito katika kiwanda cha muziki.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE