

Ijumaa hii ya TH 27 june pale Msamvu Teminal, Mfalme wa Rhyme Tanzania Afande sele, ataazimisha miaka kumi ya ufalme wa Rhymes. Huku ikitarajiwa kuwa ni show ya kihistoria ambayo itajumuisj\ha wakali wote wa Bongo fleva wa kitambo na sasa. Lakini hii leo Mfalme sele ameachi wimbo wa miaka kumi ya Ufalme kama zawadi kwa wadau wa mziki huu.
SKILIZA HAPA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment