June 10, 2014



Baada ya kupata uhakika wa kuwa bilionea kwa kuwa kampuni ya Apple imeshathibitisha kununua kampuni ya Beat Electronics, Dr Dre amenunua jumba la kifahari kwa dola milioni 40.
Mjengo huo uko California na ulikuwa unamilikiwa na mwanasoka Tom Brady na mwanamitindo Bundchen Brentwood.
 
 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE