Msanii wa muziki wa bongo freva anayefanya poa sana kwa sasa Baraka Da Prince, ameamua kuwapa zawadi maalum mashabiki wake. Ni jumaatano hii ya Th 02 june. Kaa tayari kwa bonge la zawadi toka kwake.
ACT Wazalendo kuanza kampeni tarehe hii
Chama cha ACT
Wazalendo kupitia kwa Afisa Habari wake, Bw. Abdallah Khamis mapema leo
kimetoa taarifa rasmi juu ya tarehe ya kuanza kampeni katika jimbo la
Dimani Visiwani Zanzibar.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo ilieleza:…Read More
Breaking News:Producer Emma The Boy apata ajali mbaya
Producer maarufu wa THT,
Emmanuel Maungu ‘Emma The Boy’ amepata ajali mbaya ya gari hivi punde
maeneo ya Kabuku karibu na Segera, Tanga wakati akitokea Dar es Salaam
kuelekea nyumbani kwao, mkoani Tanga.
Imeel…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment