Mkali wa muziki wa Bongo freva Toka mkoani Morogoro Dayna Nyange aka East African Queen, anataraji kuachia wimbo mpya kesho katika vituo mbalimbali vya radio. Akizungumza na ubalozini.blogspot.com Dayana amesema wimbo upo tayari, unaitwa I DO , umefanyika katika studio mpya za CONGA music chinmi ya Producer Triss. Endelea kufwatilia ubalozini.blogspot.com kupata wimbo huo.
June 26, 2014
8:33 AM
Machaku
No comments
Related Posts:
Mfahamu muimbaji na mtunzi wa kwanza wa wimbo maarufu wa Malaika Tunamini kabisa unaufahamu wimbo maarufu wa afrika wa Malaika. Wimbo wa Malaika umeimbwa na wasanii wengi sana wakubwa kwa wadogo, Mailaka uliimbwa na Boney M, Miriam Makeba, King Crazy GK na mwanamuziki Ainea pi… Read More
FIESTA2017 yazinduliwa rasmi Kile kitendawili kilichokuwa kikiumiza vichwa vya wengi vya uwepo wa tamasha la Fiesta 2017, sasa kimeteguliwa rasmi . Tamasha la Fiesta ambalo huvutia umati mkubwa wa watu kutoka sehemu mbalimbali nchini, limezind… Read More
Rais Buhari arejea nyumbani Abuja, Nigeria Baada ya kukaa takribani miezi mitatu akipatiwa matibabu nchini Uingereza hatimaye Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amewasili katika mji mkuu wa Abuja na kupokelewa na viongozi wa ngazi za juu wa … Read More
Mdogo wake Drake jinsi alivyokutana na Dayna na kufanya nae Video ya Chovya Msanii kutoka bongo flevani Dayna Nyange ametambulisha video yake mpya CHOVYA aliyoifanya south Africa na kikubwa zaidi ni kuwepo kwa mdogo wake mwanamuziki kutoka marekani Drake, Dayna amekutana na AYOTV na kueleza ji… Read More
Dayna Nyange ataja sababu za kufanya Video na ndugu wa Drake Mwanamuziki Dayna Nyange amezungumzia sababu zilizomfanya kumtumia model wa kiume kwenye video ya wimbo mpya, Chovya. Dayna amesema kuwa alihitaji mwananume ambae ataenjoy zaidi kufanya naye kazi. “Kufanya v… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment