
Diana Magesa katika moja ya vazi lake
Kauli kubwa niliyoipenda toka kwa Diana Magesa nilipopiga naye story pale Ofini kwake amesema
"naamini kabla sijafa nitafanya jambo kubwa sna mpaka dunia itashangaa"
Moja ya vazi lililobuniwa na Diana Magesa
Vazi hili lilichaguliwa kuwa vazi bora Duniani 2011, limebuniwa na Diana

Mbunifu
wa Mavazi wa Morogoro, Diana Magesa (kushoto), akizungumzia fursa ya
mambo ya ubunifu, huku akionyesha mavazi yake kwa kumvisha Mtangazaji wa
kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, Jelard Hando
Yupo Ghorofa la Lotto Mkabala na Manispaa ya Morogoro.
Au wasiliana nami nami nitakufikisha kwake kwa 0717 51 96 52
0 MAONI YAKO:
Post a Comment