
Msanii ambae anasifika kwa uandishi mzuri wa nyimbo, kutoka T.H.T, Lameck Ditto ametoa video ya wimbo wake "Tuongeze Bidii"
Wimbo umetengenezwa studio za Sarround Sound, producer akiwa ni Ema The Boy na Director ni Sadick kutoka Redline Production
TAZAMA HAPA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment