June 10, 2014

 Muntala Tala v, tala talent, tala presdent, Tala Vencha Rais wa Msasani, ni mmoja ya wadau wa media niliotokea kuwakubali sana , kutokana na tabia yake ya kujali kila aina ya mtu. Jamaa tumekuwa tukishauliana mengi sana na kuonana pia, Hatojali akipita Moro lazima atashuka ili tuonane. Leo ndugu yangu huyu ametimiza umri wake wa kuzaliwa. Kupitia blog hii, team media na wadau wote wa media, Team Ubalozini Respect, tunakutakia heri ya maisha marefu na Baraka tele juu yako.


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE