
Hamad Ali a.k.a Madee pia unaweza kumuita Rais wa Manzese, anatarajia
kuachia ngoma yake nyingine inayoitwa Paulina akiwa na Raymond wa
Tiptop.
Siku mbili zilizopita Madee alikua Morogoro akishuti video ya wimbo huo
na Director Tonee kutoka Kiumbe, katika video hiyo itaonekana sura ya
Jini Kabula akiwa kama Paulina.
Hizi ni picha wakati tukio zima la utengenezwaj wa video hiyo likiendelea.













0 MAONI YAKO:
Post a Comment