June 18, 2014

TZ 50 1
Kwa nguvu waliyonayo na urahisi wa kuwafikia Watanzania wengi, Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya waliamua kufanya tukio la kihistoria na kuungana kuimba wimbo wa miaka 50 ya Tanzania.
President wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ndio alibonyeza play na kuizindua video hii uwanja wa Jamuhuri Dodoma (104.4 Clouds FM) Jumamosi ya June 14 2014.
Unaweza kuitazama hii video yenyewe na kuniachia lako la moyoni kwenye comments hapo chini kwa chochote ulichoona mtu wangu.

 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE