Usiku
wa June 27 ni usiku uliokuwa na burudani nyingi sana hasa kwa zile
ambazo uliwahi kuzisikia kipindi cha nyuma kiukweli ni jukwaa
lililowakutanisha wakali wengi wa muziki wa zamani wa muziki wa kizazi
kipya ambao wengi wao hujapata nafasi ya kuwasikia hivi karibuni.
Miongoni
mwa watu ambao niliwaona kwenye stage ambao ni pamoja na Daz Baba,O
ten,Mapacha,Man dojo&Domokaya,Jitaman ambao kwa pamoja walipata
sapoti kutoka kwa wadogo zao Barakah Da Prince na Chriss Omarya.
Ilikua ni list fulani hivi ambayo iliwafanya watu wengi
waliokusanyika ukumbi wa Msamvu Terminal Pub kujawa na hamu mpaka
alipokuja kumaliza Afande Sele ambaye alikua mtu wa mwisho kuperfoam
ambapo allianza kuuperfoam wimbo wa Elimu Dunia aliyoshirikishwa na Daz
Baba.
Baadhi ya picha za show miaka 10 ya Mfalme wa Rhymes iliyokua Morogoro.
DJ Fatty
DJ Askofu akifanya yake
Chriss omarya
Zombi President toka mPlanet fm
Jitta Man kutoka Mwanza nae alikuwepo.
Barakah Da Prince
Mapacha[Vinega]
Chigga Son kutoka Planet Fm Morogoro.
Dotto wa mapacha
K wa mapacha
Man Dojo
O-Ten
O-ten On stage
Afande Sele na Ballet Walet.
Afande Sele na Daz Baba wakiimba Elimu Dunia.
Afande Sele na wadau wa Morogoro
Afande Sele,Man Dojo na Jose wa Morogoro
0 MAONI YAKO:
Post a Comment