Kituo cha habari cha Abood Media cha mjini Morogoro, kinatarajia kupata futuru ya pamoja na wazee waishio katika kmbi maalum ya kulele wazee wasiojiweza ya funga funga. Akitupa taarifa mmoja ya wanyetishaji wetu amesema tukio hilo linatajiwa kufanyika leo Th 20 july katika kambi hiyo.
Mambo mbalimbali ikiwemo kuwapatia vifaa kama mavazi, vyakula, sabuni nk. Pia wadau wnaomba kuhudhulia katika tukio hilo. Fika Abood media maeneo ya Msamvu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment