 |
MFUKO WA HIFADHI
YA JAMII (NSSF) LEO UMEKUBALIANA NA UONGOZI WA YANGA KUWA UTAWAKOPESHA
WACHEZAJI NA VIONGOZI WA BENCHI LA NYUMBA ZAKE. MKURUGENZI WA
UENDESHAJI WA NSSF, CRESCENTIUS MAGORI ALITOA MAELEKEZO KWA WACHEZAJI WA
YANGA PAMOJA NA BENCHI LA UFUNDI AKIWEMO KOCHA MKUU, MARCIO MAXIMO
KUHUSIANA NA NYUMBA HIZO ZILIZO KATIKA ENEO LA KIJICHI NA NYINGINE
KIGAMBONI, ZOTE JIJINI DAR SALAAM. |
 |
KATIBU MKUU WA YANGA, BENO NJOVU, ALIKUWEPO. |
 |
MPOGOLO NA JACOB, WALIKUWEPO. |
 |
BAADHI YA MIJENGO. |
Source: salehjembe.blogspot.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment