July 17, 2014

 
Mkurugenzi wa THT Ruge Mutahaba akizungumza katika hafla ya kumuaga kijana wake LinahSanga kutoka THT na kuhamia katika kampuni ya No fake Zone  (NFZ) ambao ndiyo itakayomsimamia msanii huyo kwa sasa

  
Ruge Mutahaba akimkabidhi cheti cha ustadi msanii Mwasiti ambaye ameitambulisha vizuri THT

 
Emma the boy naye alikabidhiwa Cheti cha ustadi wa kazi kama Pruducer
  
Ruge Mutahaba akimkabidhi cheti Lameck Ditto kwa kuitambulisha vema THT

 
msanii Linah akitoa shukrani kushoto ni mkurugenzi wa FNZ abby 


 
Lina akimkabidhi Ruge Mutahaba zawadi kama Shukrani zake
 

  
Msanii Linah akimpatia zawadi mwalimu wake Nkya

 
DJ Fetty naye alikuwepo
Dayna Nyange pia alikuwepo katika kumuaga Best ayke Linah

 

  
 
kwa mbali namuona mdau Daudi wa kota mwenye fulana nyeusi kushoto

 

 



 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE