
FIFA jana jioni (July 11) imetoa orodha ya majina ya wachezaji 10 waliotajwa kuwania tuzo hiyo.
Wachezaji wengine 7 kwenye orodha hiyo wanatokea kwenye timu zilizofanikiwa kuingia fainali Ujerumani na Argentina.
Mshindi kutangazwa Jumapili hii baada ya mechi ya fainali huko Brazil.
Orodha kamili: -
Angel Di Maria (Argentina)
- Mats Hummels (Germany)
- Toni Kroos (Germany)
- Philipp Lahm (Germany)
- Javier Mascherano (Argentina)
- Lionel Messi (Argentina)
- Thomas Muller (Germany)
- Neymar (Brazil)
- Arjen Robben (Netherlands)
- James Rodriguez (Colombia)
Haya ni majina ya washindi wa tuzo hiyo katika mashindano ya Kombe la FIFA la dunia miaka iliyopita:
1982 FIFA World Cup Spain: Paolo Rossi (Italy)
1986 FIFA World Cup Mexico: Diego Maradona (Argentina)
1990 FIFA World Cup Italy: Salvatore Schillaci (Italy)
1994 FIFA World Cup USA: Romario (Brazil)
1998 FIFA World Cup France: Ronaldo (Brazil)
2002 FIFA World Cup Korea/Japan: Oliver Kahn (Germany)
2006 FIFA World Cup Germany: Zinedine Zidane (France)
2010 FIFA World Cup South Africa: Diego Forlan (Uruguay)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment