July 06, 2014

                                  Photo: Wa Kuitwa...????

[Dey Call hiM What..?]                                      
Ikiwa kesho ni siku ya kuzaliwa kwa mama yake Diamond Platnumz, msanii huyo amesema atatoa video mbili kwa pamoja kama zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi. Akiandika katika ukurasa wake wa facebook Diamond amesema
Kusheherekea siku ya Kuzaliwa kwa Mama yangu kipenzi tareh 07/ 07 jumatatu hii, ntadondosha Video zangu Mbili kwa Pamoja....! Hakikisha unawai kusubscribe kwenye Account yangu ya Youtube ya "Diamondplatnumz" ile uwe wa kwanza Kuziona...!!

[As Iam celebrating my lovely mum'z birthday this Monday, I will also release my 2 videos at once... Make sure you are subscribed on my "DiamondPlatnumz" Youtube Chanel so that you can be the first one to Watch them....!!! ]
 Photo: Kusheherekea siku ya Kuzaliwa kwa Mama yangu kipenzi tareh 07/ 07 jumatatu hii, ntadondosha Video zangu Mbili kwa Pamoja....! Hakikisha unawai kusubscribe kwenye Account yangu ya Youtube ya "Diamondplatnumz" ile uwe wa kwanza Kuziona...!!

 [As Iam celebrating my lovely mum'z birthday this Monday, I will also release my 2 videos at once... Make sure you are subscribed on my "DiamondPlatnumz" Youtube Chanel so that you can be the first one to Watch them....!!! ]

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE