Mfalme Salman ahakikishia ulimwengu
Salman bin Abdulaziz al-Saud, ndugu wa
Abdullah na mtoto wa mwanzilishi wa ufalme, hatimaye ni mfalme wa Saudi
Arabia na mlinzi wa maeneo mawili takatifu ya Uislamu.
Ijumaa, Januari 23, baada ya kut…Read More
Majambazi wawili wauawa Dar
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM CP Suleiman Kova
Taarifa
iliyotolewa na jeshi hilo Kanda Maalum ya Dar es salaam, imesema kuwa
katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa kwa risasi wakati wakijaribu
…Read More
Mh Lowassa aomboleza kifo cha mpigania Uhuru
Waziri mkuu wa zamani mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na mkewe mama
Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mzee
Lazaro ole Ngoilenya Laizer aliyefariki juzi na kuzikwa leo Alhamis
kijij…Read More
Mabinti wakimbia makwao wakihofia kukeketwa
Katika harakati za kupambana na ukatili wa kijinsia hususan
ukeketaji wa wanawake nchini Tanzania,zaidi ya mabinti 16 waliotoroka
makwao baada ya kuon akil adalili ya kutaka kukeketwa na jamii
zao,wazungumz…Read More
Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili hii
-
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Amani
Golugwa, amesema chake, kitaanza...
The post Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment