Ni ndani ya Mji wa Morogoro utakapozizima kwa masaa kufuatia bonanza kubwa la Bongo fleva litakalofanyika siku ya Eid Pili ndani ya ukumbi wa mabo Club, Dj steve B, Zombi Prezdaa, Kareem Omari KO watahusika huku burudani toka kwa Rais wa Manzese madee, Linex Linenga, Mirror, Y thony mzee wa masebene, Dknob na Young Suma kwa mara ya kwanza utamshuhudia kwa Stage msanii mchanga kabisa toka Morogoro Imma Poison huku wasanii kibao toka Morogoro wakikimbiza mbayaa. Ni Eid pili pale mambo Club. Usikose
JACKLINE ISARO AANZA RASMI MAJUKUMU KUTUMIKIA NGOKOLO...."SITAKUWA DIWANI
WA MANENO"
-
Diwani wa Kata ya Ngokolo, Jackline Isaro, ameanza rasmi majukumu yake
baada ya kula kiapo cha udiwani leo Desemba 4, 2025, akiahidi kusimama
imara katika...
2 hours ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment