Baada yab timu ya taifa ya Brazil kutolewa ndani ya fainali za kombe la Dunia hapo jana zidi ya Ujerumani , sasa lea nani kung'oka??? ni Argentina au Uholanzi?? jibu tutalipata baada ya dikika 90 za mchezo wa leo utakaoanza hapo 23:00
Tupia maoni yako chini au like page ya UBALOZINI RESPECT
0 MAONI YAKO:
Post a Comment