Papii Kocha, "Tumekuja kuukomboa muziki wa Dansi"
Papii Kocha amesema kuwa baada ya kuachiwa na Rais Magufuli, walifurahi sana ambapo furaha hiyo ilipelekea wao kulia. Hata hivyo Papii baada ya kusema hayo alieleza ujio wake kwenye game ya muziki kuwa watu waka…Read More
Brand New Video:Dully sykes - coconut
Leo tarehe 3/1/2018 dully sykes ameachia video kama bonus kwa mashabiki zake...IITWAYO COCONUT video amefanya joowzey audio imefanyika STUDIO4.12......ENJOY
&n…Read More
Official Music Video: Ben Pol ft Wyse - Bado Kidogo
Mwanamuziki wa R n B kutokea kule Dododma Tanzania bwana Ben Pol, ametuletea video hii mpya kabisa ya wimbo wake unaitwa Bado Kidogo. Wimbo wa Bado kidogo unaonekana kuwapa tumaini wale wote waliokata tamaa.
&n…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment